HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 4, 2010

Mh. Kikwete mkoani morogoro leo

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mh. Dr. Jakaya Kikwete akionesha ilani za uchaguzi za CCM. Shoto ni ilani ya mwaka 2005 na kuume ni ilani ya uchaguzi mpya ambayo ni nene zaidi
Mh. Kikwete akiwasalimia wananchi wa Mkoa wa Morogoro waliofurika katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.
wengi walijitokeza kumsikiliza Mh. Kikwete leo.
Moja ya mabango ya Kampeni ya Mh. Kikwete.
Umati mkubwa wa wakazi wa Morogoro walijitokeza kumsikiliza mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Dr. Jakaya Kikwete alipokuwa akihutubia leo katika Uwanja wa Jamhuri na maeneo mwengine ya mkoa wa Morogoro leo.

1 comment:

  1. mbio za sakafuni huushia ukingoni, safari hii lazima unang'atuliwa tuu, ccm basi tena unyerere unaisha mwaka huu, tunaanza upya kama vile wakoloni walivyoondoka, bahati mbaya tanu/ccm wakoloni weusi wameshikilia miaka karibu hamsini na mizizi yao yote yanang'olewa kina mkapa pensheni zenu ziko mashakani, mafisadi hawana haki na cho-chote !!!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad