

sehemu kubwa ya bustani na kuegeshea magari.
Bro. Othman.
Pole na Kazi!
Nina kajengo kangu maeneo ya Mbezi karibu na uwanja wa kulengea
shabaha (range) ni mtaa wa tatu ukitokea katika uwanja ule upande wa
kushoto kama wapita barabara ya chini kuelekea Mlalakuwa JKT.
Ni
nyumba ambayo inaweza kutumika kwa shughuli za ofisi kwa kuwa ina
sehemu kubwa ya parking kama unayoona katika picha. Kwa mawasiliano
zaidi piga simu: 0716 776060 / 0754 275659
Ni wako mdau wa Blogu ya jamii Eddy
No comments:
Post a Comment