Salam Othman,
Urban Pulse inapenda kuwatambulisha ramsi wapenzi wa muziki wa Hip Hop kuwa first lady wa Urban Pulse anaeitwa Mish Fyah ameibuka na sasa na kibao chake kipya kinachoitwa Don't give a Damn.
Album yake iko jikoni na video yake inakuja mda si mrefu.
karibuni msikilize promo video ya single yake
Asanteni,
Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment