HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 9, 2010

kamzinga kakishkaji

gari aina ya toyota cresta,likiwa limezungukwa na majirani wapita njia wa eneo mbezi beach waliokuwa wakangalia gari hiyo ambayo iligongwa na gari nyingine ambayo iliingia mitini na kumuacha dereva wa gari hii akishangaa na kutojua la kufanya
mashuhuda wakiendelea kutupia macho gari hiyo ambayo iligongwa na gari nyingine ambayo haikuweza kusimama na kumfanya mwenye gari hii kubaki kuduwaa tu bila kujua la kufanya.
Dereva wa gari hii (tisheti nyeupe) akiwa akiwaza na kuwazua bila kujua la kufanya baada ya kupatwa na mkasa huo mchana wa jana,maeneo ya mbezi beach.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad