HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 8, 2010

twiga stars wafturu pamoja na mfadhili wao

Mdhamni Mkuu wa Timu ya wanawake nchini (Twiga Stars) ambae ni Mkurugenzi wa Kamapuni ya utafiti wa mafuta na Madini RBP Oil, Rahma Al Kharoos akiwa na wachezaji wa Twiga muda mfupi baada ya kufutu nao katika eneo la kulia chakula la shirikisho la soka nchini(TFF) jana jioni.kulia ni Mwenyekiti wa chama cha soka cha wanawake (TWFA),Lina Mhando

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad