Warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakifurahia gari aina ya Hyundai i10 lenye thamani ya shilingi milioni 12 litakalotolewa kama zawadi kwa mshindi atakaenyakua taji hilo mwaka huu.
Mweeh! Mweeh! Mweeh!
ReplyDeleteMwaka huu kiBajaji!?!Daa!
Voda wamefulia kweli!
Khaah!