HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 5, 2010

Mkoko atakaoondoka nao vodacom miss tanzania 2010

Warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakifurahia gari aina ya Hyundai i10 lenye thamani ya shilingi milioni 12 litakalotolewa kama zawadi kwa mshindi atakaenyakua taji hilo mwaka huu.

1 comment:

  1. Mweeh! Mweeh! Mweeh!

    Mwaka huu kiBajaji!?!Daa!

    Voda wamefulia kweli!

    Khaah!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad