HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 5, 2010

Notting Hill Carnival Funika bovu



salam kaka,

Urban Pulse Inapenda Kuwaletea wadau wote video ya Notting Hill Carnival Iliyofanyika hapa Ukerewe katika siku kuu ya benki(Bank Holiday) jumatatu 30.8.10
Jijini London.

Sherehe hii hufanyika kila mwaka na huvutia watu mbalimbali kutoka pande zote za dunia, Pia hii ni sherehe kubwa kuliko zote zinazofanyika barani Ulaya.

Wadau zaidi ya million moja na ushee walijumuika kwa pamoja na kusherekea kwa vifijo na ndelemo. Sherehe hii ilijumuisha mdundiko, mchiruku na ngoma toka tamaduni mbalimbali.

asanteni sana

Urban Pulse Creative

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad