Baadhi ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa wamebeba mabegi mngongoni mithili ya watalii wanaoteremka mlima Kilimanjarto wakati warembo hao walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro.
Mhifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), David Loosurutia (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mazingira ya hifadhi hiyo kwa warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakati warembo hao walipotembelea KINAPA.
No comments:
Post a Comment