HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 22, 2010

kibongo bongo ni mpango mzima

Baba,Mama na Mtoto wakiwa katika pikipiki yao kwa staili ya kichina china,sasa sijui inakuwaje katika swala zima la kiusalama.maana huyo dereva anaonekana ni mwanafunzi kutokana na hiyo alama hapo nyuma,pili hicho kiti hapo nyuma kilichokaliwa na mtoto,tatu wao wazazi wamevaa kofia za kiusalama na mtoto amepozi kimpango wake.daah hii kweli bongo daslam.
hawa hapa wanaenda zao bichi kupunga upepo
haoooo.....
waleeeee...... wanamalizikia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad