Shekhe Michuzi jr,
Nakushukuru sana kwa kutupasha habari mbali mbali za kibongo.
Kutokana na munasaba wa mwezi huu mtukufu naomba unirushie hii websit
http://tanzil.info/
ni ya Quraan unaweza ukasikiliza kwa sauti za wasomaji woote maarufu + translation kwa lugha nyingi tu ikiwemo kiswahili na pia unaweza uka search maneno ndani ya msahafu.
ni ya Quraan unaweza ukasikiliza kwa sauti za wasomaji woote maarufu + translation kwa lugha nyingi tu ikiwemo kiswahili na pia unaweza uka search maneno ndani ya msahafu.
Jazaak Allahu Khayr
Mdau Abdulnasser Al-Jabry
No comments:
Post a Comment