HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 12, 2010

Mfanyakazi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo apata nafasi kusoma Shahada ya Uzamili katika Utawala nchini china

Balozi Mdogo katika Ubalozi wa China nchini Tanzania FU JIJUN (kulia) akimkabidhi fomu ya nafasi ya masomo nchi za nje( skolaship ) Mfanyakazi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo,Sozy Ngate ( kushoto) katika Ubalozi wa China jijini Dar es Salaam. (katikati ) ni Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari ,Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko. Ngate atakuwa nchini China kwa muda wa mwaka mmoja kusoma Shahada ya Uzamili katika Utawala. Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania (charge d Affaires in the Chines Embassy in Tanzania) FU JIJUN (kulia) akiongea na Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari ,Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko jana katika Ubalozi wa China jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi fomu ya nafasi ya masomo ya Shahada ya Uzamili katika UTAWALA , Mfanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Makao Makuu Sozy Ngate(hayupo pichani).

(Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO) .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad