abiria wa daladala lifanyalo safari zake kati ya Mburahati na Kivukoni wakilisukuma gari hilo mara baada ya kubuma kwa kuishiwa mafuta katikati ya jiji,hali hii imekuwa ni ya kawaida kwa madaladala mengi hapa mjini.
No comments:
Post a Comment