
Prof. Jay akifanya vitu vyake katika shoo alioifanya Jumamosi tarehe 21 mwezi huu ndani ya jiji la Kansas,huko nchini Marekani.

Prof. Jay akiwapagawisha mashabiki wake huko Kansas.

ilikuwa ni full nyomi.
Wadau wa Kansas wakishow love kwa pamoja wakati shoo ya Prof. Jay ikiendelea.
No comments:
Post a Comment