HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 24, 2010

ajali magomeni mikumi leo

Gari ndogo aina ya Toyota Hiace lenye nambari za usajiri T 652 ABV lifanyalo shughuli ya usafirishaji wa abiria (daladala) kati ya Makumbusho na Bunju,likiwa ndani ya mtaro mkubwa uliopo maeneo ya Magomeni Mikumi mara baada ya kugongwa na gari nyingine aina ya Nissan Sivillian lenye nambari za usajiri T 677 BEP na kusababisha kifo cha mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni kondakta wa daladala hili lililopo mtaroni kwa kubanwa na gari hii ndani ya mtaro huo.
Break Down likifanya utaratibu wa kulinyanyua gari hilo ili kuweza kuutoa mwili wa marehemu uliokuwa umebanwa na gari hilo asubuhi maeneo ya Magomeni Mikumi. Gari iliyosababisha ajali hiyo ikiwa imejikita katika kinguzo cha mbezoni kwa barabara ya Kawawa rodi asubuhi hii.
wakazi wa maeneo ya jirani na wapita njia wakiwa wameuzunguka mwili wa marehemu huyo kwa kuangalia kama wataweza kumtambua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad