kamera ya mtaa kwa mtaa leo imelikuta tela hili la hamlashauri ya manispaa ya kinondoni likiwa limesheheni taka ngumu katika barabara ya kawawa.haikufahamika mara moja ni sababu gani zilizopelekea kuachwa kwa tela hiyo mahala hapo.
No comments:
Post a Comment