nguzo ya umeme ikiwa imekatika na kuanguka maeneo ya mikocheni leo kutokana na kuoza baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanyiwa mabadiliko.inavyoonekana kutokea huku.hii nayo si muda mrefu tutaisikia ipo chini maana ishaonyesha muelekeo wake.
No comments:
Post a Comment