Afisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania ,Elihuruma Ngowi akiwagawia Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 Line za simu, baada ya kumaliza kutoa semina kwa warembo hao iliyohusiana na huduma zinazotolewa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania .iliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe View .
Meneja mauzo wa M Pesa wa Vodacom Tanzania ,Jerome Mnishi akifafanua jinsi huduma ya M Pesa inavyofanya kazi kwa Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010.iliyofanyika katika kambi yao iliyopo Giraffe Hotel.
Tuesday, August 31, 2010

Home
Unlabelled
Warembo wa Miss Tanzania Wapewa Somo na Vodacom Leo
Warembo wa Miss Tanzania Wapewa Somo na Vodacom Leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment