
Dj Oscar Urio akiwa na mkewe Emmaculate Chuwa katika sherehe ya kumeremeta kwao iliyofanyika usiku huu katuka ukumbi wa Karibu Art Gallary uliopo Mbezi Beach usiku huu.

Dj Oscar na mkewe Emmaculate wakiyarudi magoma kwa raha zao

maharusi wakipata msosi

Baba na Mama wa Dj Oscar wakiwa katika pozi.

maharusi pamoja na wapame wao

mambo ya twisti hayoooo,si mnajua tena wachaga na magoma hayo??
No comments:
Post a Comment