WA MISS EASTERN ZONE),BW.KIM KIMENYA AKIONGEA NA WAREMBO PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA WAKATI AKIWAKARIBISHA DINNER ALIYOWAANDALIA WAREMBO WA EASTERN ZONE KWA AJILI YA KUWAAGA KABLA YA KUJIUNGA NA KAMBI YA MISS VODACOM TANZANIA KWENYE HOTELI YA CITY STYLE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 14.08.2010.KAMBI YA MISS TANZANIA INATARAJI KUANZA TAREHE 16.08.2010
MKURUGENZI WA KAMPUNI YA KIMKEV ENTERTAINMENT, BW.KIM KIMENYA AKIMKABIDHI POSHO YA KUJIKIMU MREMBO ANGELINA NDEGE.
Sunday, August 15, 2010

Home
Unlabelled
WAREMBO WA EASTERN ZONE 2010 WAAGWA
WAREMBO WA EASTERN ZONE 2010 WAAGWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment