JUMUIYA YA WATANZANIA UNITED ARAB EMIRATES INASIKITIKA KUWAARIFU MSIBA WA NDUGU YETU BW. SEIF RAMADHAN ATHUMAN, MKAZI WA ILALA QUARTERS DAR ES SALAAM KILICHOTEKEA TAREHE 6 AGOSTI 2010 DUBAI UAE.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA BAADA YA KUKAMILIKA KWA TARATIBU ZA KISERIKALI NA KUPATIKANA MWILI WA MAREHEMU, TAARIFA YA MAZISHI ITATOLEWA BAADAE
MAZISHI YATAFANYIKA KWENYE MAKABURI YA AL QUOZ
ISSA MAJID MAGGIDI
NAIBU KATIBU JUMUIYA YA WATANZANIA UAE
No comments:
Post a Comment