
Bi harusi mtarajiwa,Da' Mbone Mvungi akiwa katika tabasamu zito wakati sherehe ya Kitchen Party yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Bwalo la maafande wa Polisi,Masaki jana jioni.

Da' Mbone Mvungi akiongea machache katika sherehe hiyo

Bi harusi mtarajiwa akiwa katika tabasamu zito na Dada yake mkubwa,Nashe Mvungi

Bi Mtarajiwa na mdogo wake wa mwisho,Tuma Mvungi

Mbone na Mama yake Mdogo al maaruf kama MT

Mama na Mwana

ndugu,jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na bi harusi mtarajiwa.

ni vigele gele kwa kwenda mbele


Zawadi kibao zilitolewa kwa Bi harusi mtarajiwa,Mbone Mvungi

mambo ya mduara katika shughuli hizi ni kama maji na uhai,maana ndio unanogeshaga shughuli.



wageni waalikwa toka sehemu mbali mbali walihudhulia sherehe hiyo ya jikoni ya Da' Mbone Mvungi iliyofanyika jana jioni katika bwalo la maafande wa Polisi,Masaki.
No comments:
Post a Comment