MGENI RASMI KATIKA HITMA HIYO SHEIKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM AL-HAJI MUSSA SALUM AKITOA NENO LA SHUKRANI NA KUTAKA UWANACHAMA WA ASHANTI UNITED KUWA KITU KIMOJA KATIKA RAHA NA MATATIZO WAKATI ALIPOKUWA AKIONGEA KATIKA HITMA HIYO ILIYOFANYIKA KLABUNI HAPO. VIONGOZI MBALIMBALI WA KLABU YA ASHANTI WAKIJADILI JAMBO WAKATI WA HITMA HIYO JANA.
WAALIKWA MBALIMBALI WAKIBONYE KITU CHA KIPUNGA KATIKA HITMA HIYO YA KLABU YA ASHANTI.
No comments:
Post a Comment