HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 26, 2010

Mtaa Wa Twiga Waanza Kupigwa Sop Sop

hivi ndivyo uonekanavyo leo baada ya kuchimbwa ili kutengeneza kipande hicho kinachoenda kuungana na kile cha jamngwani mpaka ubungo.
vumbi mtindo mmoja.
katapila likendelea kula mzigo leo.

2 comments:

  1. mzee wa mtaa kwa mtaa ukipata kupitia maeneo ya mtoni kijichi utuletee taswili za huko mda nimeondoka huko niliacha nyumba mbili tu mwisho wa kijichi karibu na police post ndio walikuwa wanaijenga miaka ya mwanzoni mwa 90. nitashukuru mzee maana nasikia lami imefika huko. thanks

    ReplyDelete
  2. Alafu wewe mbona umepashika sana mtaani kwetu sasa au ndio mfungo nini maana mwaka jana ulikuwa utoki mitaa hiyo
    safi JK kwa kupiga sop sop kitaani
    Dunda

    ReplyDelete

Post Bottom Ad