Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa,ilimnasa mwanadada huyu akichota maji katika bomba zilizokatika kutokana na ujenzi wa barabara ya mtaa wa Twiga,Kariakoo.sasa sijui mamlaka ya maji wanampango gani na hili??
No comments:
Post a Comment