HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 25, 2010

Flava Nite @ Mzalendo Pub Usiku Wa Leo Ni Full Mzuka

Kama umeikosa FlaVa Nite hii,basi jua kabisa imekula kwako kwani ilikuwa ni noumer.jirahidi usiikose j1 ijayo pale mzalendo pub.

3 comments:

  1. ina bongo hata jumapili mnakwenda party, sasa asubuhi mnaamka saaa ngapi kwenda kazi? never mind wafisadi hawaendi kazi!!!!

    ReplyDelete
  2. DUUUU!!!!
    KAKA DONALD MHAIKI MLA MAYAO BOX 2 SONGEA BOYS AZIMIO 3 NEVER MIS FLAVA NITE!!!!
    KWELI KWANJA LIPO DAMUNI KAKA TOKA TAMSALA ENZI ZILE!!!!!
    HAHAHAHAHAHA,UMEPENDEZA NA HUYO TAMSALA WAKO
    KAMUA KAKA,MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA,HAHAHAHAH
    MDAU
    BOSTON

    ReplyDelete
  3. Hujambo Michu Jr?

    Nimepita tu kurekebisha lugha kama kawa. JIRAHIDI badala ya JITAHIDI.
    Kazi njema mkuu halahala tu usipite mtaani kwetu ni noma chips from am to pm!!!!!

    Majoy

    ReplyDelete

Post Bottom Ad