HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 24, 2010

Wenye Shabaha Zao Washailenga Hii

yapata mwezi na ushee sasa tangu wenye shabaha za kulenga kwa kutumia magari waiangushe nguzo hii ya taa za barabara ya Ally Hassani Mwinyi rodi.na tangu ianguke nguzo hiyo kitu kilichoweza kufanyika ni kuitoa katika sehemu yake na kuiweka pembeni kama ionekanavyo pichani.hapa ni Kinondoni Salander mbele tu ya daraja kama unaelekea Morocco.sasa sijui ndio kusema hapo ndio ishafika au ni vipi??

1 comment:

Post Bottom Ad