HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 26, 2010

TOM & JENNY COMIC BOOK

Habari za kazi na pole mwa mihangaiko.
Naomba msaada wa kuweka HABARI inayohusu kitabu chetu cha sanaa cha comic kinachoitwa TOM & JENNY IN TANZANIA ambacho kiko attached kwenye email hii kwenye format ya GIF. Tutashukuru sana kama utaki-post kitabu chetu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu, ili wasomaji wa blog yako wajue kwamba sasa kitabu kimetoka na wanaweza kukipata jijini Dar es salaam na vilevile tunaweza kuwatumia wasomaji walio nje ya Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
Natanguliza shukrani zetu za dhati, na hongera kwa kazi nzuri yenye ubunifu wa hali ya juu.
Joe,
Baseline Afrika - Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad