Mwana FA na Prof. J pamoja na AY wakimtuza Diamond ambaye alinyakua taji la Msaniikwa bora chipukizi Msanii chipukizi afahamikaye kama Diamond akisherehekea moja ya tuzo zake ikiwa ni pamoja na msanii bora anayechipukia, wimbo bora wa R&B alipokuwa akipokea toka kwa mwenyekiti wa Yanga Imani Madega AY akisherehekea tuzo yake ya wimbo bora reggae Hasheem Thabeet akimkabidhi C-Pwaaa tuzo ya video bora Bwana Misosi akishangilia tuzo ya wimbo bora wa Ragga aliyopewa na Sean Kingston Gadna G. Habash akipokea tuzo kwa kumuwakilisha mkewe Lady Jay Dee toka kwa Mpoki tuzo ya mwanamuziki bora wa kike Mfalme Mzee Yusuf Alinyakua tuzo za albamu bora ya taarab na ya mtunzi bora Ras Innocent Nganyagwa akimkabidhi AT tuzo ya wimbo bora wa kolabo aliofanya na Stara Thomas wa 'Nipigie.kwa picha zaidi za utoaji tuzo kwa wasanii bora wa mwaka. BOFYA HAPA.
No comments:
Post a Comment