HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 15, 2010

Njia Zetu Jijini Dar

raundi abati ya asili ikiwa imewekwa katika njia ya kuelekea kwa Victoria ukitokea Mikocheni
Msasani ukitokea Drive In
Hapa napo ndio kama hivi.hapa ni maeneo ya Faya ambapo mbele kule unaonekana ukuta wa shule ya Sekondari ya wasichana Jangwani.
njia hii inaelekea Msasani ukitokea Mikocheni pale Tanesco.(na dawa zinachimbwa pia.)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad