****************************
Kapito Letars Inakuletea Miss Dar Inter College.
Hawa ndio warembo watakaoshiriki katika kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa Dar Inter College ambayo inatarajiwa kufanyika Mei,27 katika kiota maarufu cha kujidai hapa jijini Dar,si mahala pengine bali ni Club Bilicanas iliopo katikati ya jijini.Wadamini wakuu katika mtanange huu si wengine bali ni
Vodacom,Redd's Premium Cold,Clouds FM,Shear Illusion,Tanzania Daima,Michuzi Blog,Jiachie Blog,Mtaa Kwa Mtaa Blog,Full Shangwe Blog pamoja na Jane John5 Blog.Nyooote Mnakaribishwa siku hiyo.
No comments:
Post a Comment