HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 2, 2010

Salamu Za Pasaka Toka Kwa Mdau Kiduchu

Hi,Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa,

Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako kwa kuweza kutuletea mambo mengi yanayojiri Mitaani mwetu kila siku.

Pia napenda kutoa salamu zangu za Pasaka kwa wadau woote wa Blog hii ya Mtaa Kwa Mtaa popote pale walipo.tuisherehekee sikukuu hii ya ufufuko wa Kristo kwa amani na utulivu kabisa.


ahsanteni sana na karibuni sana katika Libeneke langu linalokwenda kwa link hiyo hapo.

http://kiduchu.blogspot.com


ahsanteni na sikukuu njema

Mdau

Kiduchu

1 comment:

  1. Ahsante sana kwa salamu zako za Pasaka hii.Tunakutakia na wewe pasaka njema. Lakini je inakuwaje kwa wale wanaosema Yesu hakusulubiwa ,kufa wala kufufuka? unawaambiaje hao? fuatilia blog mpya www.findtruefaith.blogspot.com kujua mengi kuhusu Kristo na kwa nini alipaswa kufa kwa kifo cha msalabani.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad