Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako kwa kuweza kutuletea mambo mengi yanayojiri Mitaani mwetu kila siku.
Pia napenda kutoa salamu zangu za Pasaka kwa wadau woote wa Blog hii ya Mtaa Kwa Mtaa popote pale walipo.tuisherehekee sikukuu hii ya ufufuko wa Kristo kwa amani na utulivu kabisa.
ahsanteni sana na karibuni sana katika Libeneke langu linalokwenda kwa link hiyo hapo.
http://kiduchu.blogspot.com
ahsanteni na sikukuu njema
Mdau
Kiduchu
Ahsante sana kwa salamu zako za Pasaka hii.Tunakutakia na wewe pasaka njema. Lakini je inakuwaje kwa wale wanaosema Yesu hakusulubiwa ,kufa wala kufufuka? unawaambiaje hao? fuatilia blog mpya www.findtruefaith.blogspot.com kujua mengi kuhusu Kristo na kwa nini alipaswa kufa kwa kifo cha msalabani.
ReplyDelete