HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 2, 2010

Huyu Kuku Hapa Vipi???

mdekshie anavyopiga misele humu ndani.
huyu hapa tena kwa raha zake,sijui huyo mfugaji ndio kamuachia aje huku kujitafutia msosi ili anenepe nenepe,au sijui kasahau kwamba Pasaka ishafika maana kuku mwenyewe ni full kujiachia kwa kwenda mbele.
yuleeeee.....kweli bongo Tamb-rareeee yaani mifugo mpaka kwenye mabaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad