HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 12, 2010

Mwananyamala

eneo la Mwananyamala Hospital lionekanavyo leo kama lilivyonyakwa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa.
ndinga ikikwepa shimozz lililopo katika barabara ya Mwananyama.

1 comment:

  1. Mzee Wa Mtaa kwa Mtaa, nimefurahi sana kuona hizo picha, kweli hiyo barabara iko hovyo hovyo, haina uangalizi wowote, kwani cku hizi wengi tunaitumia kukwepa foleni, ila hali hiko tete! Nani alaumiwe!
    Au ndio tuombe Mkuuwa Mjengoni apite kama kasosea njia! Na zile takataka pale kwa Kopa!

    Pia nimesikia Kata au serikali ya mitaa mwenge, imewaondoa watumia mikokote, kubeba taka. Sasa wameweka magari kila kaya TZS 3000 kwa mwezi! sie tunaomba Mwenge isinuke, Maana kwa sasa tulikuwa na amani taka, majumbani kwetu zinabebwa kwa wakati! Kama ni ulaji! Jipangeni upya kazi ifanyike! Huu mwaka 2010! Hautapita bure!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad