HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 12, 2010

Boda Boda Kibao Sasa Hivi Bongo

pikipiki zibebazo abiria zilizoshika kasi kubwa sana hapa bongo,zikiwa zimepaki kijiweji kwao tayari kwa kusubiria abiria.hapa ni Mtongani,Mbezi bichi njia panda ya kuelekea sala sala.huu usafiri ndio uko wa kutosha katika eneo hili kuliko hata hizo gari na bajaj.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad