HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 12, 2010

Msiba wa Mzee Joseph Mushi


Marehemu Mzee Joseph Lebulu Mushi enzi za uhai wake

Ndugu Victor Joseph Lebulu wa Tegeta,Dar es Salaa.anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi,Mzee Joseph Lebulu Mushi kilichotokea jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Moshi kwa mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wa marehemu Tegeta,Dar es Salaam.Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mpaka hapo utaratibu wa kusafirisha utakapokamilika.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki woote popote pale waliko.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:-Victor Joseph Lebulu:
kwa namba hizi 0784/0655 721 003
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI
– AMINA
Bw. Victor Joseph (kulia) ambaye ndie mfiwa akiwa katika mazungumzo na ndugu msibani hapo
Marafiki wa Bw. Victor pia walikuwepo kumfariji mwenzao
Marafiki wa karibu wa Bw. Victor,toka kushoto ni Laur,Habib na Mboneko
waombolezaji wakiwa katika kubadilishana mawazo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad