HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 11, 2010

Hepi Besdei Ya Miaka 2 Ya FotoBaraza.Net Yafana Sana Leo

kekizz la Besdei
wanakijiji wakijisevia keki
vibanda vya kupumzikia katika fukwe za bichi ya Chadibwa
libeneke likiendelea kama kawa.
jikekizz likikatwa kwa pamoja na wadau woote.
wakuu wa kazi,kulia ni Babukadja na kushoto ni Piusy Micky ambaye ndie mdau mkuu wa Chadibwa bichi
".....kwa jina la ...... na la.... keki malizika...."hizi ni dua za Ndekia
msosi ukitayarishwa tayari kwa kupelekwa pwani
msosi ukiliwa
mambo yetu kama kawa.
mduariko kama kazi.hii yote ilikuwa ni katika kuadhishwa kwa sherehe ya kutimiza miaka miwili ya kijiji cha FotoBaraza.Net iliyofanyika huko Chadibwa Bichi pande za Kigamboni leo.hebu bofya hapo kutembelea FotoBaraza.Net

4 comments:

Post Bottom Ad