
wale wapenzi wa kununua tairi yuzdi mnaona kazi hiyooo???hapo kitu kinachongwa vizuuri zile kashata zake na kurudi barabarani na kuendeleza libeneke kama mpya vile.tena huyu jamaa anasifika sana maeneo haya kwamba ni mchongaji mzuri sana wa hizi tairi ambazo ni yuzdi.
No comments:
Post a Comment