HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 13, 2010

Happy Birthday Sarah Peter

Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwanadada Sarah Peter ambaye ni muendeshaji wa kijiji cha angaliabongo.co.tz .hivyo kwa niaba ya wadau woote wa Blog ya Mtaa Kwa Mtaa napenda kutoa salamu za Hepi Bethdei kwa mwanadada huyu na kumuombea kwa Mungu amuongezee maisha marefu zaidi.jamani miaka yake kanitajia ila kwa bahati mbaya ile karatasi niliyokuwa nimeandika hiyo miaka anayotimiza leo imedondoka kwenye dimbwi la maji wakati naruka,hivyo tusherehekee kibubu bubu tu hivyo hivyo.

Happy Birthday Sarah

2 comments:

Post Bottom Ad