HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 13, 2010

vikao vya bunge vyaanza dodoma leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Karatu, Dr. Wilbroad Slaa kwenye ukumbi wa zamani wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma, Aprili 13, 2010. Bunge lilihamia katika ukumbi huo baada ya mfumo wa sauti katika ukumbi mpya wa Bunge kupata hitilafu.
Spika wa Bunge Samwel Sitta akiingia kwenye ukumbi wa zamani wa Bunge wa Msekwa baada ya mfumo wa sauti wa ukumbi mpya wa Bunge kupata hitilafu Aprili 13, 2010.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad