HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 13, 2010

Daah....Hawa Jamaa Sasa Wamezidi...!!!

yaani kuchukua ubingwa wa ligi ya Voda tu wanajitangaaaaazaaa.... na kila mahali wanaweka haya madude yao kama vile sijui nini.hivi wangelamba ubingwa wa Dunia hawa jamaa ingekuwaje???hala huyu alieweka hapa lazima atakuwa ni Mroki Mroki tu akishirikiana na John Bukuku pamoja na Cliford Ndimbo,maana ndio wanaoongoza kwa kelele hawa jamaa.mimi wananiudhiiii.....

1 comment:

  1. Vitu Vya kawaida hivyo sasa si bingwa kweli au si kweli? JIbu Kweli au ndio chaguwa moja.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad