
wazee wa feva wakiwa wamenyuti pembeni huku bonge la foleni likiwa mbele yao na nyuma yao.sasa sijui waliamua kuuchuna hivyo kutokana na kuchoka au waliisusia hiyo foleni??.hii ni jioni ya leo katika barabara ya Kawawa rodi ambapo kulikuwa na bongo la foleni.
Katika kuendeleza mapendekezo.
ReplyDelete- Ghala ya kuihifadhi magari mengi kama hayo (10,000) ni mengi mno, tufanye kuanzia 200-400.
-Kuwe na parking za ghorofa mijini, labda za ghorofa 4-5, za halmashauri ya jiji.
-Bila kusahau majengo yoyote mapya lazima yawe na parking juu au chini (underground).
-Kuwe na congestion charges kwa kila gari iingiayo jijini, labda sh. 300.
-Kupunguza bei na ushuru wa basikeli, kui introduce pikipiki za kutumia betri za kuchaji, na pikipiki ndogo ndogo.
-Kujenga fly overs, pale kwenye junction ya mwenge, morroco, magomeni mapipa, fire na salander bridge.
-Kuongeza ukubwa wa barabara, mbili kwenda na 2 kurudi kwa barabara zote kubwa.
-Kuhakikisha watu kufanya kazi kutokana na walipojenga, mfano wafanyakazi wa kuanzia victoria, kijitonyama, mwenge, mikocheni, kawe, mbezi beach, goba, kunduchi, tegeta, boko, bunju a na b na bagamoyo, wawe wanafanya kazi kwenye mji mpya (satelite town) ya bunju, ambapo, kutakua na ofisi ndogo za mabenki yote, wizara na mashirika ya umma yote, makampuni binafsi yatafuata nyayo.