
Maana mtu mpaka anaamua kupiga mbonji sehemu kama hii ambayo ni pembezoni mwa barabara na bila kuwa na wasiwasi wowote??kwa kweli hii hali inasikitisha sana.

hii picha nimeipiga asubuhi ya leo nilipokuwa katika libeneke langu la Mtaa Kwa Mtaa,hapa ni Magomeni mapipa pembezoni tu mwa Bar ya kwa Macheni.
Hiyo sio hali ngumu ya maisha hiyo ni FULL KUJIACHIA.
ReplyDeleteMtg