HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 6, 2010

Bingo Premiar Yachezesha Droo Yake Ya Kwanza

Bingooooooo....
Masoud Kipanya Akitangaza Droo ya washindi
Mafundi Mitambo wakiwa mzigoni.
Mdau Dhiresh Kaba (wapili kulia) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake siku ya ufunguzi wa Droo ya kwanza ya Bingo Premiar
Premier Bingo Screen Board
Waandishi wa Habari pamoja na Wageni waalikwa wakishuhudia droo ya kwanza inavyochezeshwa.
ngoma za asili pia zilikuwepo katika uzinduzi wa mchezo mpya wa Bahati Nasibu ufahamikao kama Premier Bingo
timu nzima ya wana Premier Bingo wakiongozwa na Mdau Dhiresh Kaba (aliekaa katika kiti) wakiwa katika picha ya Pamoja siku ya tarehe 03/03/10 ambapo ndio ilikuwa siku ya ufunguzi rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad