
Dj Mackay pamoja na Dj Venture wakihakikisha mambo yote yanakwenda kama yalivyopangwa.

"..eehh jamani hii picha nzuuuriii.."

wakubwa wakijadiliana mambo mawili matatu,toka shoto mwenye kofia ni Dj Steve B,Gardner G. Habash,Dj Bon Venture pamoja na Jaffarai wote wakiwakilisha ndani ya Flava Nite @Mzalendo Pub.

Dj Bulla akiwa na Mwanadada Lady Jay Dee

nami nikiwakilisha Konozz la urithi kwa kina dada wa mjengeni(Clouds 88.4 Fm),toka shoto ni Zamaradi na kuume ni Dina wote hawa wako katika kipindi cha Leo Tena.

Dj Steve B,Gardner G.Habash,Jaffarai pamoja na Dj Venture.

Dina Marrios,Dj Venture pamoja na Zamaradi Mketema ndani ya Flava Nite @Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo.ambapo kila jumamossi raha kibao hupatikana hapo.

Zamaradi na Mdau (jina limenitoka kidogo)

mzee wa mikato a.k.a Bob Chidy akiwakilisha ndani ya Flava Nite.

Dj Venture na Maua ya ukweli.

Dj Steve B wa Clouds Fm pamona na mtangazaji wa EATV/RADIO Mussa.

wakali katika anga za music,toka shoto ni Jaffarai,Dj Bulla,Dj Stave B,Mshaji, pamoja na Producer Lamaa wote wakiwakilisha ndani ya Flava Nite.


Mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeeee...........

mduara umekolea.

full kusakata rumbha,hakuna anaetakaga kukaa muda kama huu ukiwadia yaani kila mtu tuko kati kuyarudi magoma.

kama ulikosa jumamossi hii,basi jitahidi usikose jumamossi ijayo ambapo mambo kama haya na mengine mengi utayapata pale Mzalendo pub katika usiku wa ma Flava ya kufa mtu toka kwa wakali,Dj Bon Love,Dj Mackay pamoja na Dj Oscar.
No comments:
Post a Comment