yaani ni shida tupu maana kila mara wanakata na kurudisha,sasa kwa taarifa yenu leo hata mkikata kabisa kwangu mimi poa tu,maana koroboi yangu nimeiona na wese nishanunua la kutosha tuu ndani ya chupa hiyo.sasa tuone nani zaidi.
Hahaahaha Othman unajifanya mafuta ya Taa eh? hahahaha sema tu unatumia mzee wakunyanyua kichwa. usitumie hayo mambo bwana haahha Maji ya Radhi wengine tunasema. Pazi
Hahaahaha Othman unajifanya mafuta ya Taa eh? hahahaha sema tu unatumia mzee wakunyanyua kichwa. usitumie hayo mambo bwana haahha Maji ya Radhi wengine tunasema. Pazi
ReplyDeleteaaa wewe acha hizo huo ni mpini tena mpya kbsa haujafunguliwa, hebu angalia hata level yake ni mule mule
ReplyDelete