HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 7, 2010

Hepi Besdei Ya Kuzaliwa King Kif Jr

mambo vipi Othman,
eehh Bwana kaka Leo ni sherehe ya hepi besdei ya kuzaliwa David Kimasa
a.k.a Kif Mdogo (mwenye chupa ya soda) akiwa nami King Kif kutoka
www.kingkif.blogspot.com
Hapa ni Msasani Beach tukiburudika na midundo ya Akudo Impact.King Kif nampongeza sana David kwa kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa leo huku akiwa na afya njema japo masuala ya keki hayaonekani pichani!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad