dogo akimpiga biti bi mkubwa wake kwa bastola toy,picha hii imepigwa na Father Kidevu ambapo yeye anasema,mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,je wewe Mdau unasemaje juu ya hii??
ingekuwa mtoto wa kiongozi dictator, mzazi angeshafikiria mara 2 juu ya uwepo wake hapa duniani.
ReplyDeletedalili mbaya na ni kwanini tuwanunlie watoto wetu mabastola???????