
mwenyewe umetoka zako home asubuhi na mapema ili kuwahi katika mishe mishe zako,ghafla tuu unakutana na hali kama hii.hivi utafanyaje kama ni wewe???hii imetokea asubuhi ya leo katika barabara ya Morogoro rodi,ambapo piki piki hiyo iliingia hiyo gari na kuifanya kuwa kama hivyo ionekanavyo hapo.
No comments:
Post a Comment